ocr: Kuchagua mchezo rahisi au mgumnu. (Mchezo mgunu ni tabu kabisa) Kisha bonyeza kifungo cha buluu. Unaweza kujipatia pointi 45 katika kila mchezo rahisi. Unaweza kujipatia pointi 55 katika kila mchezo mgumnu. Tafadhali tujulishe ukipata pointi 100 katika kila mchezo! Tunakutakia heri!